🏆 PICK & CHOOSE 🏆
Ufunguo; Maandishi yote yenye rangi nyekundu - yanabonyezeka. UTANGULIZI Karibu kwenye kozi ya ' Pick and Choose ', iliyoandaliwa kwa ajili ya kutoa mwongozo wa kuchagua mikakati bora ya kufanikisha uendeshaji wa masoko ya mitandao ya kijamii. Mimi ni Waziri Bausi , maarufu kama Socialmediageniuz , muanzilishi wa African Digital tangu Disemba ya mwaka 2020 . Nikiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka zaidi ya mitano (5+) katika uwanja huu, nimefanikiwa kusaidia biashara mbalimbali kuongeza mauzo kupitia usimamizi wa majukwaa ya kidijitali. Tunaposema Pick and Choose tunamaanisha "Chukua kisha Uchague" Yaani kati ya vingi utakavyojifunza, chukua vichache utakavyoweza kuvifanyia kazi. HISTORIA FUPI Ndani ya uzoefu wetu wa miaka mitano (5+), tumefanikiwa kutengeneza chapa "brand" kubwa baada ya kuwasidia wajasiriamali, ofisi na kampuni mbalimbali namna ya kuendesha masoko kupitia mitandao ya kijamii i kiwemo 1. KPR Consultacy ltd Task -...