🏆 PICK & CHOOSE 🏆

Ufunguo;
Maandishi yote yenye rangi nyekundu - yanabonyezeka.


UTANGULIZI

Karibu kwenye kozi ya 'Pick and Choose', iliyoandaliwa kwa ajili ya kutoa mwongozo wa kuchagua mikakati bora ya kufanikisha uendeshaji wa masoko ya mitandao ya kijamii. 


Mimi ni Waziri Bausi, maarufu kama Socialmediageniuz, muanzilishi wa African Digital tangu Disemba ya mwaka 2020. Nikiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka zaidi ya mitano (5+) katika uwanja huu, nimefanikiwa kusaidia biashara mbalimbali kuongeza mauzo kupitia usimamizi wa majukwaa ya kidijitali. 


Tunaposema 

Pick and Choose 

tunamaanisha 

"Chukua kisha Uchague"


Yaani kati ya vingi utakavyojifunza, chukua vichache utakavyoweza kuvifanyia kazi.

HISTORIA FUPI

Ndani ya uzoefu wetu wa miaka mitano (5+), tumefanikiwa kutengeneza chapa "brand" kubwa baada ya kuwasidia wajasiriamali, ofisi na kampuni mbalimbali namna ya kuendesha masoko kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo

1. KPR Consultacy ltd
     Task - Ads management training.

2. Matlucky Co. ltd
     Task - Social media marketing in general

3. Sikaf Eye Care
     Task - Digital security awarenes.


Chini, ni moja picha ya maudhurio ya darasa la VIP ambalo tuliwakutanisha wanafunzi wachache sana kati ya wale waliokuwa na uhitaji kisha kuwapa yale madini tuliokuwa nayo kwa kipindi chote cha miaka yetu mitano na zaidi (5) ya uzoefu. 

MUHIMU 

Elimu hii imekuwa rafiki kwa kila mtu kutokana na kwamba haihitaji ujuzi mkubwa wa akili, au viwango kadhaa vya elimu ili kutimiza malengo yako. Pia ni ujuzi bora zaidi kwa karne hii ya sasa, sababu kuu ikiwa ni mtu yeyote mwenye ufahamu wa kusoma, kuelewa na kuandika anaweza kujifunza nae akawa gwiji "professional" kama walivyokuwa waliopiata.

Mwisho wa KOZI hii utaweza kujifunza;

  • Njia zote za urushaji wa MATANGAZO ya kulipia kwenye mitandao yote ikiwemo FACEBOOK, INSTAGRAM, TIKTOK pamoja na GOOGLE (Google ads) bila kusahau utatuzi wa matatizo yanayopatikana ndani yake. Mfano (Ad account disabled) n.k
  • Kwa kuwa INSTAGRAM, ndio mtandao mama kwa sasa unaohusishwa katika utendaji zaidi wa biashara za mtandaoni, hivyo utajifunza setting zote muhimu za mtandao huo.
  • Mbinu za kulinda akaunti dhidi ya wezi wa mtandaoni, Namna ya kurudisha akaunti yako iliyopotea, pamoja na Kutambua link zisizo halali au salama kuzitembelea
  • Ufahamu na uelewa juu ya matumizi sahihi ya email na jinsi inavyoweza kupelekea urahisi wa kuibiwa taarifa zako pindi inapokosa ulinzi thabiti
  • Utajifunza setup zote za simu (Android & Iphone), pamoja na ujuzi wa kuchukua matukio pamoja na kuedit kupitia simu ya mkononi (Hatua za awali)
  • Wale wakali na wapenzi wa kuandaa maudhui ya picha, yaani "GRAPHICS DESIGNERS", utajifunza hatua zote za awali jinsi ya kuandaa kazi hizo kupitia simu kwa umaridadi wa hali ya juu zaidi.
  • Wamiliki wa biashara kubwa, ofisi pamoja na kampuni, kuna somo maalumu la uelewa jinsi ya kufahamu ni "INFLUENCER" gani / yupi bora kwa ajili ya kuitangaza biashara yako.
  • Kujua eneo sahihi la kutangaza biashara yako kulingana na aina ya bidhaa unazouza au huduma unazotoa.
  • Utajifunza umuhimu na matumizi sahihi ya mawasiliano ya vikundi. Yaani (Whatsapp groups, Whatsapp channel, Instagram broadcast channel, Facebook groups) n.k
  • Utajifunza namna ya kufanya / kukagua takwimu za machapisho yako kwenye mitandao ili kubaini ni chapisho lipi / (yapi) ndio limependwa sana na wafuasi wako ili uweze kuzidisha bidii kwenye aina ya chapisho husika.
idadi ya ambao walishawai kusoma kozi fupi ni zaidi ya watu 100+ huku waliobahatika kuhudhuria mafunzo ya Pick and Choose ni wachache, hivyo wote kwa pamoja wakifikisha idadi ya,
< 120+ >

Zawadi ya kutunukiwa CHETI ndio miongoni mwa jambo kubwa litakalokusaidia kuthibitisha umaridadi wako katika sekta hii kutokana na ujuzi utakaouvuna ndani ya 
🏆 Pick and Choose 🏆


NATAMANI KUSOMA HII KOZI, ILA MAOKOTO 🙌🏾 

Ondoa shaka juu ya hilo. Ni mfululizo wa takriban miaka miwili (2) KOZI hii imekuwa ikipatikana kwa gharama ya Tsh 250,000/= 🙌🏾 kwa mtu binafsi (mmoja-mmoja) na 750,000/= kwa vikundi (idadi ya watu wasiozidi (5)) na Tsh 950,000/= kwa taasisi, ofisi na makampuni. Lakini hivi sasa kwa kuzingatia uhitaji kuwa mkubwa, KOZI hii itapatikana kwa kiasi cha Tsh 99,999/= 👤 kwa mtu (mmoja-mmoja), Tsh 549,999/= 👥 kwa vikundi na Tsh 749,999/= kwa taasisi, ofisi na makampuni. Okoa hadi Tsh 150,000/= 🫢 au zaidi huku ukifurahia uhuru wa mauzo na majukwaa ya kidijitali 🥳.

NB: Huduma ya punguzo ipo (kwa vikundi & ofisi au makamupuni tu, kwa wale ambao hawatohitaji kujifunza baadhi ya vipengele ✅

Unaweza kuuliza juu ya ubora wa kazi zetu kupitia wamiliki wa biashara zifuatazo kwa ufanisi zaidi; 

Na wengine wengi, zaidi ya watu 170+...



JE UPO TAYARI KULIPIA
???

 
Ni rukhsa kutoa maoni yako Kwenye ukurasa wa comment chini mwishoni mwa tovuti hii, kama ulishawai kupata huduma yoyote kutoka kwetu.
---------------------------------------------

KILA LA KHERI

Comments